Surah Al-Asr — The Declining Day, Epoch

Surah Al-Asr (The Declining Day, Epoch) — 103/114 · 3 aya. Soma na usikilize kwa maandishi ya Kiarabu na tafsiri ya Kiswahili.

وَٱلۡعَصۡرِ

Mwenyezi Mungu Anaapa kwa zama

Ayah 1

إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَفِي خُسۡرٍ

kwamba wanadamu wako kwenye maangamivu na upungufu. Haifai kwa mja kuapa isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu, kwani kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina

Ayah 2

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلۡحَقِّ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلصَّبۡرِ

Isipokuwa wale waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakafanya amali njema, wakausiana wao kwa wao kushikamana na haki, kufanya matendo ya kumtii Mwenyezi Mungu na kusubiri juu yake

Ayah 3