Surah Al-Fil — The Elephant
Surah Al-Fil (The Elephant) — 105/114 · 5 aya. Soma na usikilize kwa maandishi ya Kiarabu na tafsiri ya Kiswahili.
أَلَمۡ تَرَ كَيۡفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصۡحَٰبِ ٱلۡفِيلِ
Je hujui, ewe Mtume, namna Alivyowafanya Mola wako watu wa ndovu: Abraha Mhebeshi na jeshi lake ambalo alikuja nalo ili kuivunja Alkaba tukufu
Ayah 1أَلَمۡ يَجۡعَلۡ كَيۡدَهُمۡ فِي تَضۡلِيلࣲ
Kwani Hakuijaalia mipango yao mibaya waliyoifanya ni yenye kuvunjika na kupita patupu
Ayah 2وَأَرۡسَلَ عَلَيۡهِمۡ طَيۡرًا أَبَابِيلَ
Na Aliwapelekea makundi yaliyofuatana
Ayah 3تَرۡمِيهِم بِحِجَارَةࣲ مِّن سِجِّيلࣲ
ya ndege waliokuwa wakiwatupia wao vijiwe vya udongo mkavu mgumu
Ayah 4فَجَعَلَهُمۡ كَعَصۡفࣲ مَّأۡكُولِۭ
Akawapondaponda, wakawa ni kama majani makavu yaliyoliwa na wanyama na halafu kutupwa
Ayah 5