Surah Al-Ikhlaas — Sincerity

Surah Al-Ikhlaas (Sincerity) — 112/114 · 4 aya. Soma na usikilize kwa maandishi ya Kiarabu na tafsiri ya Kiswahili.

قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ

Sema, ewe Mtume, «Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na Sifa, Asiye na mshirika katika hayo

Ayah 1

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ

«Mwenyezi Mungu Ambaye Peke Yake Ndiye Mwenye kukusudiwa kwa kukidhi haja na matakwa

Ayah 2

لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ

«Hana mwana wala mzazi wala mke

Ayah 3

وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ

«Wala hakuna yoyote katika viumbe Vyake mwenye kufanana wala kushabihiyana na Yeye katika Majina Yake, Sifa Zake wala vitendo Vyake.»

Ayah 4